Thursday 23 April 2015

Combination of Colours

Kiukweli ukichanganya rangi tofauti tofauti kwenye nyumba...muonekano unakuwa mzuri zaidi na pia nyumba hauichoki haraka....muhimu tu kuzingatia ni aina gani ya rangi unazochagua kuchanganya. Ziwe zinashahabiana na kuendana.... na pia zisiwe nyingi sana.....atleast not more than 4 colors! Kwa msaada zaidi wa kiushauri unaweza kutupigia.....tutakusaidia ku select the best colors....na kukupakia pia!

Just Call +2557 41 42 40 We offer best Interior designing service for homes, offices, etc... Karibu.

Kindly follow us @ Instagram @pendezesha_nyumba_yako

Friday 20 March 2015

KWA MAHITAJI YA MAFUNDI RANGI

Pendezesha Nyumba Yako ndio jibu la swali lako huna tena haja ya kuangaika kutafuta mafundi wa kupaka rangi nyumbi na kufanya decoration, kuskimu, kufunga gypsum na PVC.

"Nenda na wakati paka rangi na PENDEZESHA NYUMBA YAKO...ufurahie nyumba yako."

Tuesday 17 March 2015

UKUWAJI WA TECHNOLOGY:

Ukuaji wa teknolojia umeongeza kwa kasi mabadiliko katika ujenzi wa nyumba zetu.miaka ya nyuma wengi walipaka rangi ya cream au nyeupe kwa ndani tofauti na siku hizi ambapo rangi huchanganywa kwa teknolojia ya kisasa ya kutumia compyuta na kupelekea kuongeza uwigo mpana wa uchaguzi wa rangi za kupaka ndani na nje ya nyumba zetu...
Wasiliana nasi no: +255714 41 42 40 WhatsApp. tukushauri rangi ipi watakiwa kupaka ndani na nje ya nyumba yako....
NB: "Finishing nzuri ndio pambo la nyumba".

COLOUR YOUR HOME NOW



PENDEZESHA NYUMBA YAKO ( Kwa rangi za kisasa )
"Paka rangi nyumba ufurahie na uipende nyumba yako kwan finishing nzuri ndio pambo la nyumba yako"

Wasiliana nasi kwa simu no

+255714 41 42 40 


WE MAKE THE DIFFERENCE

{PNY} We beautify and make your house looks nice   #Lets decorate , #Live and #Enjoy !! Contact us:   +255714 41 42 40 Karibuni wote ...